Kum. 18:10 SUV

10 Asionekane kwako mtu ampitishaye mwanawe au binti yake kati ya moto, wala asionekane mtu atazamaye bao, wala mtu atazamaye nyakati mbaya, wala mwenye kubashiri, wala msihiri,

Kusoma sura kamili Kum. 18

Mtazamo Kum. 18:10 katika mazingira