Kum. 18:12 SUV

12 Kwa maana mtu atendaye hayo ni chukizo kwa BWANA; kisha ni kwa sababu ya hayo BWANA, Mungu wako, anawafukuza mbele yako.

Kusoma sura kamili Kum. 18

Mtazamo Kum. 18:12 katika mazingira