Kum. 18:14 SUV

14 Maana mataifa haya utakaowamiliki huwasikiliza wanaoshika nyakati mbaya na kutazama bao; bali wewe, BWANA, Mungu wako, hakukupa ruhusa kutenda hayo.

Kusoma sura kamili Kum. 18

Mtazamo Kum. 18:14 katika mazingira