Kum. 18:20 SUV

20 Lakini nabii atakayenena neno kwa kujikinai kwa jina langu, ambalo sikumwagiza kulinena, au atakayenena katika jina la miungu mingine, nabii yule atakufa.

Kusoma sura kamili Kum. 18

Mtazamo Kum. 18:20 katika mazingira