Kum. 18:6 SUV

6 Na akija Mlawi atokaye katika malango yako mojawapo, katika Israeli yote alipokuwa akikaa, akaja kwa mapenzi yote ya nafsi yake mahali atakapochagua BWANA;

Kusoma sura kamili Kum. 18

Mtazamo Kum. 18:6 katika mazingira