Kum. 19:11 SUV

11 Lakini mtu awaye yote akimchukia mwenziwe na kumwotea na kumwinukia, akampiga hata akafa; naye akakimbilia miji hii mmojawapo;

Kusoma sura kamili Kum. 19

Mtazamo Kum. 19:11 katika mazingira