Kum. 19:15 SUV

15 Shahidi mmoja asimwinukie mtu awaye yote kumshuhudia kwa uovu wo wote, wala kwa dhambi yo yote, katika makosa akosayo yo yote; jambo na lithibitishwe kwa vinywa vya mashahidi wawili, au watatu.

Kusoma sura kamili Kum. 19

Mtazamo Kum. 19:15 katika mazingira