Kum. 19:5 SUV

5 kama aingiapo mtu na mwenziwe mwituni kwenda kukata kuni, akapeleka mkono wake na shoka ili kukata mti, likatoka shoka katika mpini, likampiga yule mwenziwe hata akafa; basi na akimbilie katika miji hii mmojawapo awe hai;

Kusoma sura kamili Kum. 19

Mtazamo Kum. 19:5 katika mazingira