Kum. 19:9 SUV

9 nawe ukiyashika maagizo haya yote nikuagizayo leo, na kuyafanya, kumpenda BWANA, Mungu wako, na kwenda sikuzote katika njia zake, ndipo ujiongezee miji mitatu tena, pamoja na mitatu ile;

Kusoma sura kamili Kum. 19

Mtazamo Kum. 19:9 katika mazingira