Kum. 2:1 SUV

1 Ndipo tukageuka, tukashika safari yetu kwenda jangwani kwa njia ya Bahari ya Shamu, kama alivyoniambia BWANA; tukawa kuizunguka milima ya Seiri siku nyingi.

Kusoma sura kamili Kum. 2

Mtazamo Kum. 2:1 katika mazingira