Kum. 2:12 SUV

12 Na Wahori nao walikuwa wakikaa Seiri hapo kale, lakini wana wa Esau waliwafuata; wakawaangamiza mbele yao, wakakaa badala yao; kama alivyofanya Israeli nchi ya milki yake aliyopewa na BWANA.)

Kusoma sura kamili Kum. 2

Mtazamo Kum. 2:12 katika mazingira