Kum. 2:24 SUV

24 Ondokeni, mshike safari yenu, mvuke bonde la Arnoni; tazama, nimemtia Sihoni Mwamori mfalme wa Heshboni mkononi mwako, na nchi yake; anzeni kuimiliki, mshindane naye katika mapigano.

Kusoma sura kamili Kum. 2

Mtazamo Kum. 2:24 katika mazingira