Kum. 20:1 SUV

1 Utokapo kwenda vitani kupigana na adui zako, na kuona farasi, na magari, na watu wengi kuliko wewe, usiwaogope; kwa kuwa BWANA Mungu wako, yu pamoja nawe, aliyekukweza kutoka nchi ya Misri.

Kusoma sura kamili Kum. 20

Mtazamo Kum. 20:1 katika mazingira