Kum. 20:3 SUV

3 awaambie, Sikizeni, enyi Israeli, hivi leo mwasongea mapiganoni juu ya adui zenu mioyo yenu na isizime; msiche, wala msiteteme, wala msiingiwe na hofu kwa ajili ya wao;

Kusoma sura kamili Kum. 20

Mtazamo Kum. 20:3 katika mazingira