Kum. 20:8 SUV

8 Tena maakida na waseme zaidi na watu, wawaambie, Ni mtu gani aliye hapa tena mwenye hofu na moyo mnyonge? Aende akarudi nyumbani kwake, isije mioyo ya nduguze ikayeyuka mfano wa moyo wake.

Kusoma sura kamili Kum. 20

Mtazamo Kum. 20:8 katika mazingira