Kum. 22:2 SUV

2 Na kwamba yule nduguyo hayupo karibu nawe, au ukiwa humjui, umchukue kwenu nyumbani kwako, uwe naye hata aje nduguyo kumtafuta, nawe mrudishie.

Kusoma sura kamili Kum. 22

Mtazamo Kum. 22:2 katika mazingira