Kum. 22:22 SUV

22 Akifumaniwa mtu mume amelala na mwanamke aliyeolewa na mume, na wafe wote wawili, mtu mume aliyelala na mwanamke, na yule mwanamke naye; ndivyo utakavyoondoa uovu katika Israeli.

Kusoma sura kamili Kum. 22

Mtazamo Kum. 22:22 katika mazingira