Kum. 22:9 SUV

9 Usipande shamba lako la mizabibu aina mbili za mbegu; yasije yakaondolewa matunda yote, mbegu ulizopanda na maongeo ya mizabibu yako.

Kusoma sura kamili Kum. 22

Mtazamo Kum. 22:9 katika mazingira