Kum. 23:14 SUV

14 kwa kuwa BWANA. Mungu wako, yuatembea katika kituo akuokoe, na kukutolea adui zako mbele yako; kwa hiyo na kiwe kitakatifu kituo chako; asije akaona kitu kwako kisichokuwa safi, akageuka na kukuacha.

Kusoma sura kamili Kum. 23

Mtazamo Kum. 23:14 katika mazingira