Kum. 24:1 SUV

1 Mtu akiisha kutwaa mke kwa kumwoa, asipopata kibali machoni mwake, kwa kuwa ameona neno ovu kwake, na amwandikie hati ya kumwacha, akamtilie mkononi mwake, na kumtoa katika nyumba yake.

Kusoma sura kamili Kum. 24

Mtazamo Kum. 24:1 katika mazingira