Kum. 24:16 SUV

16 Mababa wasiuawe kwa ajili ya watoto wao, wala watoto wasiuawe kwa ajili ya baba zao; kila mtu na auawe kwa ajili ya dhambi yake mwenyewe.

Kusoma sura kamili Kum. 24

Mtazamo Kum. 24:16 katika mazingira