Kum. 24:21 SUV

21 Uchumapo zabibu katika shamba lako la mizabibu, usichume mara ya pili; zilizobaki apewe mgeni, na yatima, na mjane.

Kusoma sura kamili Kum. 24

Mtazamo Kum. 24:21 katika mazingira