Kum. 24:5 SUV

5 Mtu atwaapo mke mpya, asiende vitani pamoja na jeshi, wala asipewe shughuli juu yake yo yote; akae faragha mwaka mmoja nyumbani mwake, apate mfurahisha mkewe aliyemtwaa.

Kusoma sura kamili Kum. 24

Mtazamo Kum. 24:5 katika mazingira