Kum. 24:8 SUV

8 Angalia katika pigo la ukoma, utunze kwa bidii, kwa kufanya mfano wa yote watakayowafundisha makuhani Walawi; tunzeni kwa kuyafanya vile vile kama nilivyowaamuru wao.

Kusoma sura kamili Kum. 24

Mtazamo Kum. 24:8 katika mazingira