Kum. 25:1 SUV

1 Pakiwa na mashindano kati ya watu, wakaenda maamuzini, na hao waamuzi wakawaamua; na wampe haki mwenye haki, na wamhukumie makosa yule mwovu;

Kusoma sura kamili Kum. 25

Mtazamo Kum. 25:1 katika mazingira