Kum. 25:5 SUV

5 Watakapoketi pamoja mtu na nduguye, mmojawapo akafa, wala hana mwana wa kiume, mke wa yule aliyekufa asiolewe nje na mgeni; nduguye yule mumewe amwingilie amweke kwake awe mkewe, kumfanyia yampasayo nduguye mumewe.

Kusoma sura kamili Kum. 25

Mtazamo Kum. 25:5 katika mazingira