Kum. 25:7 SUV

7 Na yule mtu kwamba hapendi kumtwaa mke wa nduguye, aende huyo mke wa nduguye langoni kwa wazee, akawaambie, Nduguye mume wangu yuakataa kumsimamishia nduguye jina katika Israeli, hataki kunitimizia yampasayo nduguye mume wangu.

Kusoma sura kamili Kum. 25

Mtazamo Kum. 25:7 katika mazingira