Kum. 25:9 SUV

9 ndipo mke wa nduguye amkaribie mbele ya hao wazee, amvue kiatu chake mguuni mwake, na kumtemea mate ya uso; kisha atajibu yule mwanamke, aseme, Mume akataaye kumjengea nduguye nyumba yake na afanywe hivi.

Kusoma sura kamili Kum. 25

Mtazamo Kum. 25:9 katika mazingira