Kum. 26:12 SUV

12 Utakapokwisha kutoa zaka, katika zaka zote za maongeo yako mwaka wa tatu, ambao ndio mwaka wa kutolea zaka, umpe zile zaka Mlawi, na mgeni, na yatima, na mjane, wapate kula ndani ya malango yako na kushiba;

Kusoma sura kamili Kum. 26

Mtazamo Kum. 26:12 katika mazingira