Kum. 26:15 SUV

15 Uangalie kutoka makazi yako matakatifu mbinguni, uwabarikie watu wako Israeli, na nchi uliyotupa kama ulivyowaapia baba zetu, nchi imiminikayo maziwa na asali.

Kusoma sura kamili Kum. 26

Mtazamo Kum. 26:15 katika mazingira