Kum. 26:17 SUV

17 Umemwungama BWANA leo, kuwa ndiye Mungu wako, na kuwa yakupasa kutembea katika njia zake, na kushika amri zake na maagizo yake, na hukumu zake, na kusikiza sauti yake;

Kusoma sura kamili Kum. 26

Mtazamo Kum. 26:17 katika mazingira