Kum. 27:15 SUV

15 Na alaaniwe mtu afanyaye sanamu ya kuchonga, au ya kusubu, machukizo kwa BWANA, kazi ya mikono ya fundi, akaisimamisha kwa siri. Na watu wote wajibu, waseme, Amina.

Kusoma sura kamili Kum. 27

Mtazamo Kum. 27:15 katika mazingira