Kum. 27:3 SUV

3 uyaandike maneno yote ya torati hii juu yake, utakapokwisha kuvuka; ili upate kuingia nchi akupayo BWANA, Mungu wako, nchi imiminikayo maziwa na asali, kama alivyokuahidi BWANA, Mungu wa baba zako.

Kusoma sura kamili Kum. 27

Mtazamo Kum. 27:3 katika mazingira