Kum. 28:12 SUV

12 Atakufunulia BWANA hazina yake nzuri, nayo ni mbingu, kwa kutoa mvua ya nchi yako kwa wakati wake, na kwa kubarikia kazi yote ya mkono wako; nawe utakopesha mataifa mengi, wala hutakopa wewe.

Kusoma sura kamili Kum. 28

Mtazamo Kum. 28:12 katika mazingira