Kum. 28:15 SUV

15 Lakini itakuwa usipotaka kuisikiza sauti ya BWANA, Mungu wako, usiyaangalie kufanya maagizo yake yote na amri zake, nikuagizazo hivi leo, ndipo zitakapokujia laana hizi zote na kukupata.

Kusoma sura kamili Kum. 28

Mtazamo Kum. 28:15 katika mazingira