Kum. 28:25 SUV

25 BWANA atakufanya upigwe mbele ya adui zako; utawatokea juu yao kwa njia moja, lakini utakimbia mbele yao kwa njia saba; nawe utatupwa huko na huko katika falme zote za duniani.

Kusoma sura kamili Kum. 28

Mtazamo Kum. 28:25 katika mazingira