Kum. 28:4 SUV

4 Utabarikiwa uzao wa tumbo lako, na uzao wa nchi yako, na uzao wa wanyama wako wa mifugo, maongeo ya ng’ombe wako, na wadogo wa kondoo zako.

Kusoma sura kamili Kum. 28

Mtazamo Kum. 28:4 katika mazingira