Kum. 28:47 SUV

47 kwa kuwa hukumtumikia BWANA, Mungu wako, kwa furaha na moyo wa kushukuru, kwa ajili ya ule wingi wa vitu vyote;

Kusoma sura kamili Kum. 28

Mtazamo Kum. 28:47 katika mazingira