Kum. 28:53 SUV

53 Nawe utakula uzao wa tumbo lako mwenyewe, nyama ya wana wako na binti zako aliokupa BWANA, Mungu wako; katika mazingirwa na katika mkazo utakaokazwa na adui zako.

Kusoma sura kamili Kum. 28

Mtazamo Kum. 28:53 katika mazingira