Kum. 28:55 SUV

55 hata asitake wao mmojawapo apewe katika nyama ya wanawe atakaowala, kwa kuwa hana kitu kilichomsalia kwake; katika mazingirwa na mkazo utakaokazwa na adui yako katika malango yako yote.

Kusoma sura kamili Kum. 28

Mtazamo Kum. 28:55 katika mazingira