Kum. 28:62 SUV

62 Nanyi mtasalia wachache kwa hesabu, ninyi mliokuwa mfano wa nyota za mbinguni kwa wingi; kwa kuwa hukuisikiza sauti ya BWANA, Mungu wako.

Kusoma sura kamili Kum. 28

Mtazamo Kum. 28:62 katika mazingira