Kum. 28:64 SUV

64 BWANA atakutawanya katika mataifa yote, tokea ncha hii ya dunia hata ncha hii ya dunia; nawe huko utatumikia miungu mingine usiyoijua wewe wala baba zako, nayo ni miti na mawe.

Kusoma sura kamili Kum. 28

Mtazamo Kum. 28:64 katika mazingira