Kum. 29:13 SUV

13 apate kukuweka leo uwe taifa kwake naye apate kuwa Mungu kwako, kama alivyokuambia, na kama alivyowaapia baba zako, Ibrahimu, na Isaka, na Yakobo.

Kusoma sura kamili Kum. 29

Mtazamo Kum. 29:13 katika mazingira