Kum. 29:18 SUV

18 asiwe mtu katikati yenu, mume wala mke, wala jamaa, wala kabila, ageukaye moyo wake leo amwache BWANA, Mungu wetu, kwenda kuitumikia miungu ya mataifa hayo; lisiwe katikati yenu shina lizaalo uchungu na pakanga;

Kusoma sura kamili Kum. 29

Mtazamo Kum. 29:18 katika mazingira