Kum. 29:20 SUV

20 BWANA hatamsamehe mtu huyo, lakini wakati huo hasira ya BWANA na wivu wake vitafuka moshi juu ya mtu yule, na laana yote iliyoandikwa katika kitabu hiki itamkalia juu yake, na BWANA atalifuta jina lake chini ya mbingu.

Kusoma sura kamili Kum. 29

Mtazamo Kum. 29:20 katika mazingira