Kum. 3:12 SUV

12 Na nchi hiyo tuliitwaa ikawa milki yetu, wakati huo; tokea Aroeri iliyo kwenye bonde la Arnoni, na nusu ya nchi ya milima ya Gileadi, na miji iliyokuwamo, niliwapa Wareubeni na Wagadi;

Kusoma sura kamili Kum. 3

Mtazamo Kum. 3:12 katika mazingira