Kum. 3:2 SUV

2 BWANA akaniambia, Usimwogope; kwa kuwa nimemtia mkononi mwako, yeye na watu wake wote na nchi yake; nawe utamtenda mfano wa ulivyomtenda Sihoni, mfalme wa Waamori, aliyekuwa akikaa Heshboni.

Kusoma sura kamili Kum. 3

Mtazamo Kum. 3:2 katika mazingira