Kum. 3:24 SUV

24 Ee BWANA Mungu, umeanza kumwonyesha mtumishi wako ukubwa wako, na mkono wako wa nguvu; kwani kuna mungu gani mbinguni au duniani awezaye kufanya mfano wa kazi zako, na mfano wa matendo yako yenye nguvu?

Kusoma sura kamili Kum. 3

Mtazamo Kum. 3:24 katika mazingira