Kum. 3:4 SUV

4 Tukatwaa miji yake yote wakati huo; hapakuwa na mji tusiotwaa kwao miji sitini, nchi yote ya Argobu, ndio ufalme wa Ogu ulio katika Bashani.

Kusoma sura kamili Kum. 3

Mtazamo Kum. 3:4 katika mazingira