Kum. 30:10 SUV

10 ukiwa utaifuata sauti ya BWANA, Mungu wako, kwa kuyashika maagizo yake, na amri zake zilizoandikwa katika chuo hiki cha torati; ukimwelekea BWANA, Mungu wako, kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote.

Kusoma sura kamili Kum. 30

Mtazamo Kum. 30:10 katika mazingira